Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Kongamano la Diyarbakir “Urithi wa Sheikh Said al-Kurdi”
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 99 ya kuuawa shahidi Sheikh Said Biran al-Kurdi, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano lililopewa kichwa la “Urithi wa Sheikh Said” katika ukumbi wa mikutano wa Msikiti wa Salah al-Din al-Ayyubi mjini Diyarbakir.