Uislamu Unapinga Dola ya Kitaifa Uislamu Unaunganisha Ummah wa Kiislamu Kuwa Dola Moja ya Khilafah Iliyo na Nguvu
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Huku Ulimwengu wa Kiislamu ukiporomoka katika uchumi na usalama, Waislamu wanatafuta njia ya kutokea. Hivi sasa Waislamu wamegawanyika katika dola za kitaifa hamsini na saba, ambapo hali hiyo imewadhoofisha.