Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
H. 24 Rabi' I 1447 | Na: HTS 1447 / 33 |
M. Jumanne, 16 Septemba 2025 |
Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari
(Imetafsiriwa)
Sisi, katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, tunafuraha kuwaalika ndugu zetu wanahabari, wanasiasa, na wale wenye hamu na masuala ya umma kuhudhuria mkutano na waandishi wa habari ambao msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan atazungumza, kwa kichwa:
“Taarifa ya Miezi Mitatu na Ubwana Uliopotea”
Wakati: Jumamosi, Rabi' al-Awwal 28, 1447 H, sawia na 20 Septemba 2025, saa 1:00 pm.
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, Port Sudan – Wilaya ya Al-Azma – Mashariki mwa Uga wa Port Sudan
Kuhudhuria kwenu kunanogesha mazungumzo.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |