Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
H. 18 Safar 1447 | Na: HTS 1447 / 14 |
M. Alhamisi, 14 Agosti 2025 |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan
Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari
(Imetafsiriwa)
Sisi, katika Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan, tuna furaha kuwaalika ndugu zetu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na wale wenye hamu na mambo ya umma kuhudhuria kwenye mkutano na waandishi wa habari, ambapo msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan atatoa hotuba kwa anwani:
Wito kwa Watu wa Sudan:
Ikamateni Darfur ili Isijiunge na Kusini
Wakati: Jumamosi, 22 Safar 1447 H sawia na 16 Agosti 2025 M, saa 1:00 Adhuhuri
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan, Port Sudan – Wilayah ya Al-Azma – Mashariki mwa Uga wa Port Sudan
Kuhudhuria kwenu kutanogesha majadiliano.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |