Logo
Chapisha ukurasa huu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  2 Jumada I 1446 Na: HTS 1446 / 20
M.  Jumatatu, 04 Novemba 2024

Mwaliko wa Kuhudhuria Mkao wa Masuala ya Ummah
(Imetafsiriwa)

Sisi, katika Hizb utTahrir / Wilayah Sudan, tunafuraha na taadhima kuwaalika waandishi wa habari, wataalamu wa vyombo vya habari, wanasiasa, na wale wanaopenda masuala ya umma kuhudhuria na kushiriki katika Mkao wa kila mara wa Masuala ya Ummah, ambao utakuwa na kichwa:

Sera za Uachishaji kazi na Uteuzi na Njia Isiyoepukika ya Utawala Bora

Wazungumzaji kwenye mkao huo ni:

1. Ustadh Muhammad Jama’ (Abu Ayman) - Msemaji Msaidizi wa Hizb utTahrir katika Wilayah Sudan.

2. Ustadh Al-Nazir Mukhtar - Mwanachama wa Hizb utTahrir.

3. Mwendesha Mkao: Ustadh Abdul Jalil Adam - Mwanachama wa Hizb utTahrir.

Tarehe: Jumamosi, 7 Jumada al-Awwal 1446 H, sawia na 9 Novemba 2024, saa 1:00 Adhuhuri, InshaAllah.

Mahali: Afisi ya Hizb utTahrir / Wilayah Sudan – Port Sudan - Wilaya ya Al-Azma - Mashariki mwa Uga.

Kuhudhuria kwenu kunaonyesha kujali kwenu masuala ya Ummah wenu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 0912240143- 0912377707
http://www.hizb-sudan.org/
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.