- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:
Mkutano na Waandishi wa Habari: “Hizb ut Tahrir inatoa Wito kwa Serikali na Upinzani Kuzungumza kwa Sauti Moja”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia itafanya mkutano na waandishi wa habari wenye kichwa:
“Hizb ut Tahrir inatoa Wito kwa Serikali na Upinzani Kuzungumza kwa Sauti Moja”
Jumanne, 9 Septemba 2025, saa 12:30 mchana kwa saa za Madina
Moja kwa moja kwenye chaneli ya Al-Waqiyah TV.
Jumanne, 17 Rabi' al-Awwal 1447 H sawia na 9 Septemba 2025 M
- Matangazo ya Moja kwa Moja ya Amali ya Mkutano -
https://rumble.com/v6yo2j2-421027022.html
Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia
Tovuti Rasmi ya Jarida la Tahrir
Ukurasa wa Facebook wa Jarida la Tahrir