- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:
Kipindi cha Mpito!
Amerika inasimama bila nguvu mbele ya Iran.
China haina nguvu mbele ya Taiwan.
Urusi haina nguvu mbele ya Ukraine.
Ulaya imegawanyika na haina nguvu mbele ya Amerika.
Mfumo wa kimataifa, taasisi zake, na miungano yake inaanguka.
Mgawanyiko wa kisiasa wa ndani na nje, vita vya mauaji ya halaiki, na uharibifu wa miji na miundombinu.
Migogoro ya kiuchumi na kijamii na kurudi nyuma kwa umbile la mwanadamu.
Dhulma, ukandamizaji, na upotevu wa maadili.
Hii ndiyo gharama ya kipindi cha mpito kati ya kuanguka kwa tawala za kiimla na kuinuka kwa zengine.
Kuinuka na kufaulu ni kwa wale wanaomiliki badali...
...Khilafah kwa njia ya Utume.
#الخلافة_هي_ضرورة_العصر
#خلافت_وقت_کی_ضرورت_ہے ۔
#Khilafah_Need_Of_The_Time
Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Pakisyan
Jumanne, 02 Dhu al-Hijjah 1447 H sawia na 19 Mei 2026 M

Kwa maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya Facebook ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya Jukwaa la X ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
