Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Baada ya Mbabe wa Kiyahudi wa Trump wa Magharibi, Mbabe wa Kibaniani wa Trump wa Mashariki atangaza Vita dhidi ya Umma wa Kiislamu!

Baada ya kukutana na Makamu wa Rais wa Trump, J.D. Vance, Modi alisitisha Mkataba wa Maji wa Indus mnamo 23 Aprili 2025, akitishia usambazaji wa maji kwa Pakistan. Enyi, simba wa jeshi la Pakistan! Hakuna njia ila kukabiliana na mashambulizi ya pande mbili za Trump dhidi ya Umma. Nayo ni kwa kupitia muungano wa Umma wa Kiislamu chini ya Khilafah Rashida ya pili. Je, jeshi kubwa zaidi la Kiislamu lingewezaje kuacha heshima hii kwa jeshi jengine lolote?! Kamanda Muhammad bin Qasim aliifungua India akiwa kama kamanda wa jeshi la Khilafah. Ni wakati wenu sasa kukamilisha. Ondoeni vikwazo vyovyote katika njia yenu na musimamishe Khilafah Rashida. Khalifa Muongofu ataanza kuunganisha Umma, na kuregesha mito mitatu ambayo ilitolewa mwaka 1960, kutoka kwa Raja Zahir wa leo.

#Time4Khilafah

Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Pakistan

Jumatano, 25 Shawwal 1446 H, sawia na 23 Aprili 2025 M

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Tovuti Rasmi ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya X: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.