- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
DVD “Amali za Kimataifa za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah 1447 H – 2026 M

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafurahi kuwasilisha kwa wafuasi na wageni wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya katika lugha sita yenye kichwa:
“Amali za Kimataifa za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah 1447 H – 2026 M”
Imeandaliwa na Idara ya Machapisho na Kumbukumbu ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.

Kupakua DVD Hii
Kuzuru Ukurasa wa Amali za Kimataifa
