- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Afisi Kuu ya Habari:
DVD “Kampeni ya Kimataifa - Vita vya Sudan: Hadithi ya Ukoloni, Usaliti na Udanganyifu”

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuatiliaji na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya katika lugha nane yenye kichwa:
“Kampeni ya Kimataifa - Vita vya Sudan: Hadithi ya Ukoloni, Usaliti na Udanganyifu”
Imeandaliwa na Idara ya Machapisho na Kumbukumbu ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.
Ili kupakua DVD hii
Ili kuzuru ukurasa wa Kampeni ya Kimataifa
