Jumapili, 25 Muharram 1447 | 2025/07/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kusimamishwa kwa Khilafah Rashidah na Dori Yetu

Kuna mijadala mingi kuhusu kusimamishwa kwa Khilafah siku hizi katika Ulimwengu wa Kiislamu na Magharibi. Kule ambako Khilafah itasimamishwa kwanza, iko Mikononi mwa Mwenyezi Mungu Peke Yake, kwani Yeye Pekee hupeana Nasr (ushindi). Bishara njema za Mtume (saw) zinatoa habari (khabar) juu ya jambo la uwezekano. Ama dori yetu ni kufuata njia ya Utume, kusimamisha Uislamu katika kutawala mambo yetu.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi: “Enyi Waislamu, Je, Mtawaacha Watu wa Palestina peke yao na Hali Umma una Majeshi yenye Nguvu?”

Baada ya Swala ya Ijumaa, katika mji mkuu, Tunis, yalifanyika matembezi ya hamsini yaliyoitishwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia, kwa watu wa Zaytouna, kwa ajili ya kuwanusuru watu wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa ulio mateka, na kichwa chake kilikuwa, “Enyi Waislamu, je, mtawaacha watu wa Palestina peke yao na hali Umma una majeshi yenye Nguvu?!”

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Kongamano la Kimataifa la Wanawake: Ukombozi wa Palestina... Changamoto na Bishara Njema”

Mwaka mzima umepita tangu kuanza kwa Kimbunga cha Al-Aqsa na vita vikali vilivyofuata huko Gaza. Tangu tarehe 7 Oktoba mwaka jana, watu wa Gaza wamevumilia mitihani mikubwa, wakiishi katika machungu, mateso, na majanga yasiyohesabika.

Soma zaidi...

Kauli za Aibu za Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan

Kufuatia mkutano wa ile inayoitwa “Kamati ya Mawaziri wa Kiarabu na Kiislamu iliyopewa jukumu la kuchukua hatua za kimataifa kukomesha vita dhidi ya Gaza,” Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan Ayman Safadi alitoa kauli za aibu kwa waandishi wa habari ambazo haziendani na uzito wa tukio ambalo kwalo walikuwa wamekusanyika.

Soma zaidi...

Udungaji Visu Mgongoni mwa Umma Unaendelea kutoka kwa Watawala Vibaraka Ruwaibidha wa Waislamu!

Ufalme wa Al Saud unaregesha udungaji visu wake mgongoni mwa Umma wa Kiislamu kwa kushirikiana na watawala wa Ruwaibidha (watepetevu na wazembe) katika nchi za Kiislamu kupitia mbio zao za kuhalalisha mahusiano na umbile nyakuzi, licha ya jinai zote za mauaji ya halaiki na uhangaishaji Waislamu katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi unaofanywa na umbile hilo katili.

Soma zaidi...

Kongamano la Kimataifa la Wanawake la Mtandaoni Lililoandaliwa na Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir, kwa Uratibu na Wanawake wa Hizb ut Tahrir Ulimwenguni

Mwaka mzima umepita tangu kuanza kwa Kimbunga cha Al-Aqsa na vita vikali vilivyofuata huko Gaza. Tangu tarehe 7 Oktoba mwaka jana, watu wa Gaza wamevumilia mitihani mikubwa, wakiishi katika machungu, mateso, na majanga yasiyohesabika.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu