- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:
Matembezi ya Takbir, Tahlil, na Tahmid 1446 H
Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon iliandaa maandamano ya Takbir, Tahlil, na Tahmid katika mji wa Tripoli, Syria, chini ya kauli mbiu "Tuko Pamoja nawe, ewe Gaza, tukipiga Takbir na Tahmid," kwa mnasaba wa ujio wa siku kumi za kwanza za Dhul-Hijjah 1446 H – 2025 M Idd al-Adha iliyobarikiwa. Matembezi hayo yalihitimishwa kwa dua ya kugusa moyo ya Sheikh Ahmed Al-Shamali.
Ijumaa, 03 Dhu al-Hijjah 1446 H sawia na 30 Mei 2025 M
- Dua ya Sheikh Ahmed Al-Shamali -
Siku ya Jumapili, sawia na tarehe 5 Dhul-Hijjah 1446 H, Hizb ut Tahrir / Wilayat Lebanon iliandaa
Matembezi ya Takbir, Tahlil, na Tahmid katika mji wa Tripoli, yakiwa na kauli mbiu "Tuko Pamoja nawe, ewe Gaza, tukipiga Takbir na Tahmid," ambapo msafara wa magari, ulinyanyua bendera (Rayah) nyeusi ya Mtume wa Mwenyezi Mungu, rehema na amani zimshukie, na bendera (liwaa) yake nyeupe ukipiga takbira, na tahlil, ulizunguka katika barabara za Tripoli.
Jumapili, 05 Dhu al-Hijjah 1446 H sawia na 01 Juni 2025 M
Kwa Mengi Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:
Akaunti Rasmi ya X Ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon
Akaunti Rasmi ya Facebook ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon